.

Lazizi Lyrics

Lazizi w***u we / Zawadi nono kutoka mbinguni / Nakuwaza my baby / Nikikuwaza usiku silali

Nikikuona na wengine nashikwa na wivu / Naomba unipe namba yako nikuvutie wire / Nikupeleke java tunywe kahawa / Tukizubaa duba duba
Mukhali wanje we / Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye / Ndakhuyanza my baby / Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye

Zunguka zunguzukane nikitafuta kama wewe / Ninafeel so nice, unanipa mi amani / Mbele baibe sione njia bila wewe, wewe lazizi

Mazoe manana, kadonangaeuta na lola / Nakanisakayo cheri nanga / Soki yo tena nzanga kapongi

------------
Mafunzo ya dunia
You live, you learn, sometimes you hurt, sometimes you get burnt. Today you are at the top, tomorrow you are at the bottom.
That's just how life is.
Mafunzo ya dunia, niishi niose, nisote nikope, nipate ya wote / Utatembea pengi, macho ni mengi sikio ni mbili tumia akili / Uwe wa kwanza, usiwe wa pili, maisha si movie katika hizi enzi

Ooh Dunia, mbona hukunipa penzi / Maisha haya, kwako hapa ni magumu / Ninavumulia, mwisho nitajivunia / Ya dunia, mbono kukunipa penzi
(mimi nina shanga)
Oh mimi nina shangaa / Nilifanya nini, ilinishi hivi, maisha yangu dunia / Naimba hii muziki, nipate riziki, mwishonita nawiri, niendeshe mercedes

Oh nitapaa shida za dunia niziache nyuma niendelee
Oh dunia, mbona hukunipa penzi, maisha haya / Kwako hapa ni magumu, ninavumilia mwisho nitajivunuia / Ya dunia mbona hukunipa penzi

Mimi nina shangaa
Report lyrics