.

Sina Mali, Sina Deni Lyrics

Sina mali, sina deni (free)
(Stevie Wonder/Adaptation Khadja Nin)

Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvula
Ina ruka kama ndege
Ina ceka kama mutoto

Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
Napona
I'm free, kama maji
Ana tembeya mpaka kati ya pori
Mimi, mi masikini
Sina mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama mauwa
Ina pita kama nyota
Ina waka kama juwa
Pole pole mama
Wakati w***u umefika, napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, mi masikini
Sina mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama maco
Ina waka kama mwoto
I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori

Kama hewa, kama maco kama nyota
Kama mimi leo, mimi napona

I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona

Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni
Report lyrics